Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, June 17, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU.


YEREMIA 33.3
”Niite, name nitakuitika,nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoya jua”
 
“Call Unto me, and l will Answer thee and shew thee great and mighry things, which thou knowest not” Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya June 18.
               UCHANGUZI WA NENO HILO.


 


Mungu anatualika kumshirikishe mwenye changamoto zetu naye atazimaliza fast kwa utukufu wake kikubwa kwetu ni kumuamini kwamba yeye ndiye Muumba wa Mbingu na Ardhi, Nuru na Giza. 
 
Chaajabu baadhi ya wanadamu wakipata changamoto
wanakimbilia na wanadamu wenzao na kumpa kisogo Mungu aliyewaumba hao wanadamu wanaowaamini. 
 
Kwenye neon hilo la Mungu anatualika tupeleke kwake matatizo yetu naye atayatatua pasina gharama zozote. 
 
Baadhi yetu tunaferi kwenye eneo moja tu tukimuomba Mungu tunahitaji majibu muda huo huo, hapana Kwa Mungu haiku hivyo, lko hivi anaweza kweli kukujibu muda huo huo au baadae hivyo tusipijibiwa kwa wakati tusichepuke kwenda kwa waganga wapiga Lamli chonganishi 
 
Tunamuomba Mungu atusaidie kulijua neno lake na kuachana na mambo ya dunia.



No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...