Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, June 24, 2023

MASTAA SIMBA. YANGA.AZAM WAMENG’ARA KWENYE TAMASHA LA MORO KIDS

Kiungo Ounda wa Simba Mzamiru Yassin[kulia' Winga hatari ya Namungo Shiza Kichuya aliyenyoosha Mikono na beki wa Dodoma Jiji Hassan Kessy anayezungumza na refa mastaa hao wakijianda kupiga mpira wa faulo

 

 


Mastaa hao ni pamoja na Mzamiru Yassin, Shomari Kapombe, Zawadi Mauya, na Shiza Kichuya,

Habari kamili na picha za tukio hilo zitafuka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao Pendwa wa Shekidele Muda wote.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...