Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, May 24, 2023

YARIYOJIRI KUMBI ZA STAREHE WIKI END ILIYOPITA.









 


Na Mlala Nnje Dustan Shekidele,Morogoro. 

Band Pendwa mkoani Morogoro Waluguru Original’Wana Mji Kasoro Bahari’ Wiki End iliyopita imeuwasha Moto kwenye ukumbi mmoja uliopo katikati ya Mji wa Morogoro.huku wanenguaji wa band hiyo waking’ara kwenye kitengo chao Pendwa cha kutikisa Mwili na kukata nyonga.

Akihojiwa na Mlala Nnje Mwimbaji mahiri wa band hiyo Deogratius Aruphonce Almaarufu Killer Boy ambaye pia ndiye mmiliki wa band hiyo alisema yeye na Vijana wake siku zote ni kuwapa burudani nzuri mashabiki wao wanaowakilimbia kwenye shoo zao.

 

”Shekidele Mlala Nnje kama ulivyoshuhudia tuko kikazi Zaidi tunapiga nyimbo za aina zote tena mfurulizo bila kuweka pozi ikifika kipengele cha sebene wananguaji wangu wanapandna jukwaani kufanya yao”alisema Killer Boy Pichani kwenye kipaza sauti’Mic’

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...