Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, May 25, 2023

KUMBUKIZI. YA KOCHA JULIO NA MH MEYA


 


Kocha Maarufu nchini Mzawa Jamhuri Kihwelo’Julio’[Kati] akitoka Uwanja wa Jamhuri Morogoro akisindikizwa na Mwenyekiti wa Chama Cha soko Mkoa wa Morogoro’MRFA’ Mh Pascal Kihanga[kushoto] ambaye pia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Morogoro.

 Kulia ni Mlezi wa timu ya Black Viba ya Vibandani Kata ya Mbuyuni  Mh Samwel Msuya ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mbuyuni Jimbo la Morogoro,kitaaluma Mh Msuya ni Mwandishi wa habari

 Kwa pamoja wakifurahia baada ya kumuona Mpiga Picha wa Mtandao huu akiwaphotoa mapicha picha,tukio hili lilinaswa April 22- 2019.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...