Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, May 1, 2023

SPIKA WA BUNGE TANZANIA AMFARIJI MJANE

Spika wa Bunge  Mh Dr Tulia Ackson jana mchana ametinga maeneo ya Nane nane Morogoro na kumfariji Mjane wa Mhadhiri wa SUA hayati Prof Mbia aliyefariki dunia wiki iliyopita, tukio hilo pia lilishuhudia na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh Anthony Mtaka.

 Habari kamili na picha zaidi za tukio hilo zitaruka hewani hivi punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.


 

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...