Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, May 14, 2023

MTOTO MWINGINE WA WAZIRI MKUU STAAFU AFARIKI DUNIA


 

TANZIA. 
Bloga Maarufu nchini William Samwel Malecela amefariki dunia jioni ya leo jijini Dar es salaam.
 
lfahamike kama jina linavyojitambulisha Marehemu ni Mtoto wa Mwanasiasi mkongwe nchini aliyewahi kushika nafasi ya Uwazi Mkuu nchini Mzee John Samwel Malecela. 
 
Pole Sana Mzee Malecela machungu uliyonayo moyoni nayajua kwani ni hivi karibuni tu amefiwa na Mtoto wako wa kike, wakati maumivu hayayapo leo tena kamanda wako William naye amemfuata dada yake.
lnauma sana ila tukupe moyo kazi ya Mungu haina makosa kwenye kipindi hiki kigumu mtegemea Mungu tu awe faraja yako.
Bwana ametoa na Bwana ametwa jina lake lihimidiwe. Kangulia kamanda tutaonana baadae.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...