Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, April 19, 2023

TANZIA, MTANGAZAJI ABOOD MEDIA AFARIKI DUNIA


 

TANZIA.

Mtangazaji Maarufu wa Abood Media Emmanuel Victor amefariki dunia.

 

 Enzi za uhai wake Emma alikuwa akiongoza Vipindi vya Michezo Abood Radio na Abood Televisheni.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. Mwendo umeumaliza  tangulia kamanda tutaonana baadae

No comments:

Post a Comment

KIJIWE NONGWA. UKIONA KAFUTA BANGO UJUMBE UMEFIKA

  Na Mpekunyuzi wa Mitandao Dunstan Shekidele.   Kama kawaida mtumishi wako, kila wiki naweka Bando linalonitembeza kwenye Mitandao ya Kijam...