Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, April 19, 2023

MR PAPARAZI.





 


Najivunia kuwa Mpiga Picha kazi inayopendwa na kila mtu Wakiwemo Viongozi wa ngazi za juu nchini.

 Kama hiyo haitoshi mpaka   Wanyama pia wanaipenda kazi ya Kupiga Picha. Pichani Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania  Mh Mizengo Kayanza Peter Pinda akipiga picha Mandhari nzuri ya Msitu.

 Picha no 2 Mnyama Ngedere akichagua Picha kwenye Memory Card baada ya kupiga Picha nyingi kwenye kamera yake.

Picha no 3 Mpiga Picha wa Mtandao huu kushoto akiwa na Mpiga Picha wa Chanel Ten.

Picha no 4  Mpiga Picha wa Mtandao huu akiwa kwenye sherehe za Kipa lmara kanisa la KKKT Usharika wa Mlalo Wilaya ya Lushoto Mkoani Tanga.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...