Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, April 8, 2023

KUMBUKIZI. ya SHABIKI NAMBA MOJA TANZANIA



 


Shabiki namba moja Tanzania aliyekuwa akiishabikia timu ya Reli ya Morogoro ‘Kiboko ya Vigogo’hayati  Hamza Godfrey almaarufu ‘Yamungu’akifanya mambo yake uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwenye gemu ya Yanga na Reli. Picha namba 2 Mashabiki wa Yanga wakiifuatilia timu yao ilipokipiga na Polisi Morogoro kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...