Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, March 14, 2023

MASHBIKI WA ARSENAL WAPIGA MAOMBI MAZITO KUIOMBEA TIMU YAO IFANYE VIZURI





 

Shekidele Mkude Simba akiongoza taifa la Mashabiki wa Arsenal wa pande zote la dunia kwenye maombi maalumu ya kuiombea timu yetu kutwaa ubingwa msimu huu baada ya kuonga ligi kuu ya England kwa takribani msimu mzima.

 

Mwana Arsenal Popote ulipo endeleza maombi hayo ingawa taa ya njano upande wetu imeshawaka kuelekea taa ya kijana,huu Mwaka ni wetu.

 

 Kwa Upande wa mahasimu wetu mashabiki wa Manchester United Kuku kuonekana kwa Mganga rango yake ndio iliyomponza. Nikiwa na maana Man U kupigwa nnada ndio kinachowaponza mpaka wanapigwa bao 7 na Liverpool

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...