Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, March 19, 2023

JUMBE WA NENO LA MUNGU


 

LUKA 16-13

”Hakuna mtumishi awezaye kutumikia Mabwana wawili, kwa maana ama atamchukia huyu na kumpenda huyu.ama atashikamana na huyu na kumdharau huyu.Huwenzi kumtumikia Mungu na Mali”

 

Hilo ndilo neno letu la leo Jumapili ya March 19.Pichani Yesu Kristo[Nabii lssa] anagonga hodi kwenye mioyo yetu tusiifanye kuwa migumu tumfungulia aingie.

 

Tusidanganywe na tamaa za Mali ambazo tukifa tutaziacha hapa hapa duniani,ambapo kwa wakristo tutaingia kaburini na saduku la pembeni 4 na waumini wa dini nyingine wataingia kaburini na vipande 3 vya sanda.

 

Mwenye Masikio na asikie asiye na masikio………]

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...