Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, March 2, 2023

KUMBUKIZI YA BABA NA MWANA

Mchezaji wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzana Mzee Sundar Manara ‘Computer’[Aliyeketi kwenye kiti akiwa na Mwanaye Haji Manara ambaye kwa sasa ni Afisa habari wa Yanga anayetumikia adhabu ya kufungiwa na TFF.
Winga wa zamani wa Simba Shiza Kichuya[kulia] ambaye kwa sasa anakipiga timu ya Namungo ya Luagwa Lindi akiwa na baba yake Mazazi Ramadhana Kichuya, mara baada ya mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Shule ya Msingi Msamvu Miaka kadhaa iliyopita.

 

Beki wa zamani wa Simba hayati Adam Seleman 'TATA' kulia akiwa na Mwanaye Miraj Adam Selema ambaye naye miaka kadhaa iliyopita akiitumikia timu ya Simba kabla ya kuachwa na timu hiyo baada ya kuvunjika Mguu kwenye gemu ya Simba na Mgambo ya Tanga.

 

 Mwenyezi Mungu aipokeee roho ya Mpendwa wetu Adam Selemani Wana Morogoro hasa wakazi wa Mji Mpya tutakukumbuka daima.

 

 

 


 


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...