Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, February 12, 2023

UJUMBE WA NENO LA MUNGU



 

MITHALI  10.1-6

 

“Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye. Bali Mwana Mpumbavu ni Mzigo wa Mamaye.

 

 Hazina za Uovu hazifaidii  kitu,  bali haki huokoa na mauti.

 

Bwana hataiacha nafsi ya ,Mwenye haki ife na njaa.

 

Bali tamaa ya Mtu Mwovu huisukumia mbali. Atendaye mambo kwa Mkono Mlegevu huwa masikini, bali mkono  wake aliye na bidii hutajirisha.

 

Akusanyaye wakati wa hari ni mwana mwenye hekima,bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.

 

Baraka  humkalia mwenye  haki kichwani.bali jeuri hufunika kinywa chake mtu mwovu”. Hili ndio neno letu la leo jumapili ya Februal 12

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...