Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, February 9, 2023

BODA BODA YA MWANDISHI WA HABARI YAMWAGIWA MAJI YA UPAKO












 

Ez Come Ez Go Pikipiki ya Mwandishi wa Mtandao huu,inakatiza kwenye mabonde Milima na Misitu mizito na maeneo hatarishi za Mbuga za wanyama usiku na mchana  Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro kusaka habari za Kijamii hasa za kuwatetea wanyonge.

 

Mara kadhaa nikiwa safarini nyakati za usiku Pikipiki ilipata Pancha na kuradhimika kutafuta Mafuti kwenye vijiji usiku huo na kuziba Pancha kwa kutumia mwanga wa tochi za simu.

 

 Changamoto zote hizo hazijawahi kunikatisha tamaa ya kuacha kwenda Vijijini kuwasaidia wananchi hao wanyonge wanaohitaji Msaada wa Waandishi wa habari.

 

Kufuatia hali hiyo mmoja wa Viongozi wa dini aliamua kuifanyoa maombi Maalumu sambamba na kuimwagia maji ya baraka Pikipiki hiyo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...