Kaiumu Mkurugenzi Mjuu wa NODICO Bi Stella Kisala akizungumzia ishu hiyo, msiki Mubashara kwenye Clip Video kwenye facebook za Dustan Shekidele na Shekidele Mkude simba
Na Dunstan Shekidele,Morogoro.
Maadhimisho ya siku ya wapendanao dunia’Valentine Day’Taasisi ya Walemavu ya Morogoro Disability Devolopment and lmformation Center Organization’MODICO’imefanikiwa kuonyesha Upendo kwa Watoto 30 wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kuwatoa mtaani na kuwapeleka shuleni.
Akizungumza kwenye hafra ya kusheherekea Valentine Day waliojiandalia wenyewe kupitia taasisi yao ya MODICO wakiwa na lengo la kuonyeshana Upendo wenyewe kwa wenyewe Siku hiyo ya Wapendanao, kaimu Mkurugenzi wa MODICO Stella Kisala alifunguka mazito juu ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu akigusia ishu ya Ulawiti huku akidai wameshafanikiwakuwanasua watoto 30 wanaoishi kwenye mazingira magumu.
Msikie Mkurugenzi huyo akifunguka mazito juu ya tukio hilo kwenye kurasa za facebook za Dustan Shekidele na ile ya Shekidele mkude simba
No comments:
Post a Comment