Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, February 2, 2023

KUMBUKIZI. KEKI YA KATWA NDANI YA STUDIO ZA PLANET FM KIPINDI CHA MCHARUKO WA PWANI.

Warda Makongwa akimlisha keki Dustan Shekidele ndani ya Stuio za Planet Fm
Somo Maarufu wa kikindi cha Mcharuko wa Pwani Bi. Farha Abraham akicharuka kwenye mcharuko wa Pwani

 Dustan Shekidele akiwabijika kwenye kipengele chake cha Fagio la Mtaa Planet Fm

Hii ni  November 2016 kwenye kumbikizi ya kuzaliwa kwa Mtangazaji Maarufu nchini Warda  Makongwa anayekimbiza na kipindi chake cha Mcharuko wa Pwani Planet Fm ya Mkoani Morogoro.

 

Kabla ya kuelekea ukumbini kwenye sherehe ya kifahari wafanyakazi wa kipindi hicho cha Mcharuko wa Pwani tulilianzisha tukio hilo ndani ya Kipindi hicho cha Mcharuko wa Pwani ambapo Mwana Birthday huyo Warda Makongwa ambaye pia ni kiongozi wa Radio hiyo alitulisha keki wafanyakazi wote wa kipindi hicho cha Mcharuko wa Pwani.

 

lfahamike Mwandishi wa habari hizi aliwahi kufanya kazi kwenye kipindi hicho cha Mcharuko eas Pwani kwenye kipengele cha Fagio la Mtaa ambapo Mwandishi huyo alikusanya visa vyote cha Mtaani na kuvirusha hewani kwenye fagi hilo la Mtaa na kujizolea wasikilizaji wengi kufutia matukio moto moto yaliyokuwa yakiruka kwenye fagi hilo la Kitaa.

 

 Kulia mwenye nguo nyeupe ni somo Maarufu wa kipindi hicho cha Mcharuko wa Pwani Farha Abraham ambaye ni dada wa damu wa Mwandishi wa habari hizi.

 

Pichani Warda akimlisha Keki Mwandishi wa Mtandao huu wakati kipindi hicho cha Mcharuko wa Pwani kikiwa hewani.

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...