Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, January 6, 2023

TASWIRA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI

Picha za matuko ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro. Pichani Mgeni rasmi Mh Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatuma Mwassa akiingia ndani ya ukumbi wa JKT Bwalo la Mwema Disemba 31 2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Morogoro'MOROPC;Nikison Mkilanya  akimpokea Mkuu wa Mkoa.
Mkuu wa Mkoa Mstaafu Mzee Steven Joshua Mashishanga ambaye pia ni Mlezi wa Chama hicho  akimpokea Mkuu wa Mkoa kwa heshima zote za kabila la kisukuma
Vigunge wa chama cha Waandishi wa habari kutoka Kushoto Wenyeviti wa Staafu wa chama hicho Aziz Msuya,mwenye tai na  Boni MtalimboKati]wakiwa na Mzee Ramadhan Said Dogori ambaye ni Mwalimu Mstaafu wa Chuo cha Uandishi wa habari Morogoro'MSJ'
Mwenyekiti Mkilanya akizungumza kwenye Mkutano huo
...Wajumbe wa mkutano huo wakimsikiliza kwa umakini Mwenyekiti wao
Kabla ya wajumbe wote kujitambulisha Mwenyekiti Mkilanya aliomba watu wote kusimama kwa dakika moja kuwakumbuka Waandishi wa habari waliotangulia mbele za haki mwaka 2022
Mtangazaji Mkongwe nchini Bujanga lzengo Kadako 'Baba Askofu' akijitamburisha
Meneja Mkuu wa Abood Media Abed Ramadhan Dogori akijitambulisha
Mzee Ramadhan Dogori ambaye ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya Maadili ya Chama hicho, akijitambulisha.

 lfahamike Mzee Dogori ndiye baba mzazi wa Meneja  wa Abood Media aliyejitambulsiha hapo juu

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Fikiri Juma naye akijitambulosha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilim akijitambulisha sambamba na  kuzungumza machache juu ya matukio mbali mbali yaliyotokea  Mkoani Morogoro
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatuma Mwassa akifunguka Mkutano huo sambamba na kuzungumza mengi na Waandishi hao. 

lkumbukwe Mkuu huyo wa Mkoa kitaaluma  ni Mwandishi wa habari aliyepata elimu hiyo nje ya nchi


...Wajumbe wa Mkutano huo wakimsikiliza kwa umakini Mkuu huyo wa Mkoa

Wageni waalikwa wakiwemo wakuu wa Chuo cha Uandishi wa habari Morogoro MSJ wakwanza na wapili kushoto na wa mwisho kulia ni Mwakilishi kutoka DStv  kulia kwa mwakilishi huyo wa DStv ni Makamanda kutoka kikosi cha Zima Moto na Uokoaji
...Wajumbe wa Mkutano huo wakipiga picha na Mgeni rasmi kwa mafungu mafungu


Mwandishi wa Mtandao huu nyuma ya Mzee Mashishanga naye alipata wasaa wa kupiga Picha na Mgeni rasmi



Mkilanya akimsindikiza Mkuu wa Mkoa mara baada ya kufungua mkutano huo

Mh mkuu wa Mkoa akiingia kwenye gari tayari kuelekea kwenye majukumu mengine ya kuwatumikia wana Morogoro Picha zote na Dunstna Shekidele,Morogoro
 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...