Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, January 1, 2023

HERRY YA MWAKA MPYA.   UJUMBE WA NENO LA MUNGU.


 

 

 

 Na Mtumishi Dunstan Shekidele,Morogoro.

 

Kama kicha cha habari kilivyotutambulisha hapo juu.

 

 Ni furaha iliyoje kwa waumini wa dini ya Kikristo Mwaka Mpya wa 2023 umeangukia Jumapili siku yao ya lbada.

 

Hivyo Mtandao huu unawakumbuka wakristo kuanza Mwaka Mpya kwa kuvuka daraja lenye Msalaba aliotundikwa Mesia Yesu baada ya kukubari asulubiwe ili atuokoe wewe na mimi.

 

 Mtandao huu unawatakia Herry ya Mwaka Mpya wadau wote wa Mtandao pendwa wa Shekidele tukiahidi kwa Majaliwa ya Mwenyezi Mungu tutaendelea kuwapa habari Moto moto Mwaka huu wa 2023  

                      USHAURI.

Mtandao huu unawashauri wadau wote tuendelee kutenda  matendo Mema Mwaka huu Mpya ili Mwisho wa safari yetu hapa duniani pia uwe Mwema.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...