Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, December 7, 2022

SEHEMU YA PILI STORI YA MTANGAZAJI MWENYE ULEMAVU WA MCHO.

 

Check Clip Video Mlemavu wa Macho akisoma taarifa ya habari kwa weledi mkubwa huku akiwa na wiki tatu toka ajiunge chuo Cha Uandishi wa Habari Morogoro’MSJ.’

 

Kama mnavyo jua hali yetu ya Umeme kwa sasa hapa nchini Wakati Mtangazaji huyo akiendelea kusoma taarifa hilo ya habari katikati ya stori za kitaifa Umeme ulikatika.

 

Uongozi wa Chuo  uliwasha Jenereta kubwa na Mtangazaji huyo Mteule kuendelea kusoma taarifa hiyo ya habari.

 

 Panapo Majaliwa ya Mwenyezi Mungu Kesho tutahitimisha Sehemu ya tatu na ya Mwisho ya Stori ya Mwanahabari huyo Mtarajiwa. Angalia Clip Video zaidi kwenye kurasa za Facebook za shekidelemkudesimba na ukurasa wa pili wa facebook wa Dustan shekidele

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...