Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, December 10, 2022

MASHINDANO YA MAGARI YANAENDELEA MUDA HUU MORO



 

Muda huu niko maeneo ya Nane nane Tubuyu  Mnada wa Ng’ombe na Mbuzi,kwenye Mashindano ya Magari yanayojulika kwa jina la ‘Atlantic Rally Of Morogoro’ kabla ya kufika hapa Nane nane awali nilikuwa maeneo ya Kihonda Yespa nikakatiza kwenye barabara ya reli ya Mwendo Kasi nikatokea KKKT  Seminary barabara kuu ya Moro-Dar ambapo maeneo yote hayo magari ya Mashindano yanapita. Kwa sasa naendelea kukusa matukio mbali mbali ya mashandano haya yanayoendelea muda huu.

Baadae Picha zaote za matukio hayo zikiwemo Clip Video zitaruka hewani kwenye Mtandao Pendwa wa Shekidele hivyo usikae mbali na Mtandao huu muda wote.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...