Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, December 10, 2022

MAAJABU YA KOMBE LA DUNIA 2O22.


 


Kawaida huwa Jogoo anawiki alfajiri Maajabu ya leo Jogoo wa timu ya Ufaransa amewika usiku huu nchini England. 
 
Nahodha wa timu hiyo ya Waingereza iliyopewa nafasi kubwa kutwaa kombe hilo namba moja dunia.
Kane ‘Super Toll’Muda huu anamwaga machoji yaliyosababisha jezi yake yote kulowa kama kale kawimbo kapya ka Konde Boy
 
Pichani Kikosi kabambe cha Ufarasana cha Mwaka jana ambacho kama kawaida kimejaa Mablack People Kibao 
 
Hongeni sana Mablack wenzangu kwa kutinga Nusu fainali hapana shaka yoyote mtatetea ubingwa wengu mlioutwa miaka 4 iliyopita.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...