Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, December 11, 2022

GARI 4 ZA KWAMA KUMALIZA MBIO ZA MAGARI MORO.

Gari hizo za mashindano zikikatika eneo la Nane nane Tubuyu Mnada wa Ng'ombe ambapo eneo hilo lina kona nyingi na utamu w amashindano hayo ya magair ni maeneo hayo yenye kona kali







Moja ya magari hayo ya mashindano likichomoka katikati ya magari mawili

Gari safisha njia likiwajibika kwenye mashindano hayo



Moja ya Gari la mashindano likivutw abaada ya kuharibika
Rafiki yangu Mwamuzi wa Ligi Kuu Vicent Mlabu  ambaye pia ni Mjeshi akichutama na kupiga Picha moja ya magari hayo ya mashindano


Basi la Kisasa kutoka kampuni Pendwa ya Abood nalo likiwa nyuma ya moja ya gari hizo za Mashindao eneo la Junior Seminary barabara kuu ya Moro-Dar. Cheki picha zaidi za mashindano hayo ya magari kwenye Profile la Mtandao huu hapo juu.
 
Kwa safari za Dar-Moro, Moro Arusha. Moro- Mwanza, Dar-Tabora Kupitia Moro. Dar Mbeya, Dar-lringa Panda mabasi ya kisasa ya Abood Bus Service 'King Of The Road' hayana Mbamba Full Kipupwe Tv za Kimwaga sambamba na Vionjo Kibao hakika ukisafiri na mabasi hayo uta Enjoy safari yako


 


 

              Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

 

Gari 4 zimeshindwa kumaliza Mbio za Magari zilizofanyika juzi maeneo ya Yespa  Kata ya Kihonda na Nane Nane Tubuyu Kata ya Tungi Mkoani hapa.

 

Mashindano hayo yaliyoshirikisha madereva kutoka  Tanzania Mikoa ya Dar es salaam, Arusha na Morogoro na dereva Mmoja kutoka Kampala Uganda ambaye ni Miongoni Mwa madereva hao 4 walioshindwa kumaliza mbio hizo kwa sababu mbali mbali ikiwemo kuharibika kwa magari yao.

 

 Mashindano hayo yalishirikisha magari 11 ambapo 7 yalifanikiwa kumaliza mbio hizo huku 4 yakiishia njiani na kulazimika kupigwa kamba yakivutwa kurejeshwa kwao.

 

 Kama kawaida Mtandao wako Pendwa wa Shekidele umekusanya matukio kibao zikiwemo Picha za Mshindi wa kwanza Mpaka wa 4 ambapo dereva kutoka Morogoro ametia fora katikati mashindano huyo.

 

Kwa habari hizo na nyingine Moto moto endelea kuwa jirani na Mtandao Pendwa wa Shekidele muda wote.

 


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...