Gari 3 zilizoshinda mashindano hayo
Bingwa wa mashindano hayo akiwa juu ya gari lake
...Akishuka kwenye gari baada ya kushangilia ushindi wake
Mwandishi wa Mtandao huu[Jezi nyekundu' pamoja na Waandishi wa Azam Tv kwa pamoja wakiwa ndani ya ukumbi wakisubiri washindi kutangazwa
Mc wa shughuri hiyo ambaye pia ni Mtangazaji wa Azam Tv akitangaza washindi
Washindi wa tatu
Washindi wa Pili
Mdhamini Mkuu wa Mashindano hayo[kati]akiwapongeza washindi
...Mshindi akizungumza
Mshindi akiwalowesha wenzake na Champein
Na Dunstan Shekidele,Morogoro.
MBIO za Magari zilizojulikana kwa jina la Atlantic Rally Of Morogoro’ zilizoshirikima mwisho mwa wiki kwa dereva Tufail Tufail Kutoka Dar kuibuka mshindi namba moja wa mshindano hayo.
Mbio hizo za magari zilizoshirikisha maderena 11 kutoka nchini za Tanzania na Uganda huku magari 11 pekee yakifanikiwa kumaliza mbio hizo na mengine 4 kushindwa kumaliza baada ya kuharibika.
Mshindi wa Pili wa mashindano hayo ni Harinder Deerf na Msomaramani wake Piredina huku mshindi wa tatu akinyakua Mustaf Ally na Msomaramani wake Dhuran Padya,
Mshindi huyo namba Moja baada ya kuwatimulia vumbi wadereva wenzake 11 barabani kwenye makabidhiano ya zawadi yaliyofanyika Cate Hotel Mshindi huyo pia kawamwagia Champein maderewa wenzake walioonekana kununa balaa baada ya kuikosa hiyo nafasi ya kwanza.
Nafasi ya 4 ilinyakuliwa na derena Pekee kutoka Morogoro akishirikiana na Msoma ramani wake mwana Mama wa Kichanga Maica Lymo ambao walikuwa kivutio kikubwa kwenye mshindano hayo jina na picha kali za dereva huyo Mwana Morogoro aliyesindikizwa na Kigoma cha Ulugway zitaruka hewani hivi Punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao Pendwa wa Shekidele.
No comments:
Post a Comment