Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, November 5, 2022

TANZIA,MWAMUZI ALIYEMLIMA KADI NYEKUNDU KOCHA WA YANGA AFIWA NA KAKA YAKE

  Picha no 2  Mwamuzi wa ligi Kuu Raphael lkambi Maarufu Raphael Webb  akimlima kadi Nyekundu Kocha wa Yanga Prof Nabi uwanja wa Mkapa jijini Da
Marehem Dullah enzi za Uhai wake  akiwa kwenye kaburi la Mpendwa Mama yake Mzazi.
                                   Refa Raphael lkambi

         Marehemu Dullah akinywa Maji enzi za Uhai wake


  Na Dunstan Shekidele,Moorogoro.

Kaka wa Refa Maarufu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Raphael Ikambi aliyewahi kumlima mkadi nyekundu Kocha wa Yanga Prof Nabi na beki Maarufu wa Simba Mkongoman lnonga

Marehemu Abdallah Mwene Maarufu Dulla Bonge ambaye ni Kipa wa zamani wa timu za Eleven Killer na Airport Ranger amefariki dunia usiku wa kuamkia Jana nyumbani kwao Kiwanja Cha Ndege Jirani na Soko la Matunda la Mawenzi.

Akizungumza na Mwandishi wa habari hizi Jana lkambi alisema Mazishi ya Mpendwa kaka yake yatafanyika  leo Majira ya saa 7 mchana kwa sasa Mwandishi wa Mtandao huu anaelekea Msibani hapo.

                      

  Picha no 2  Mwamuzi wa ligi Kuu Raphael lkambi Maarufu Raphael Webb  akimlima kadi Nyekundu Kocha wa Yanga Prof Nabi uwanja wa Mkapa jijini Dar


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...