Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, November 3, 2022

KONGOLE KWA MATUKIO 2.

Neema akiwa Saloon akijiandaa kwenda ukumbini baada ya kuhitimu mafunzo ya Kipa lmara
Mwandishi wa habari hizi akiwa na Neema baada ya kumtembelea shuleni siku chache baada ya kuanza kwa mitihani ya taifa ya Kidato cha Pili.

 


 

Mwaka 2022 ni Mwaka wa matukio Makubwa Mawili  ya Neema Dustan Shekidele.

 

 Mwezi April Mwaka huu siku chake baada ya kufurahia Ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo’Sikuu ya Pasaka’ ulihitimu Mafunzo ya Kipa lmara Kanisa Kuu la KKKT Dayosisi ya Morogoro Usharika wa Bungo.

 

Wiki hii unamaliza Mitihani yako ya Taifa ya Kidato cha Pili, hivi karibuni kabla ya kuanza kwa  mitihani hiyo nilitika kwenye shule yako na kukutia moyo kwenye mitihani hiyo ya taifa.

 

 lfahamike Neema yuko Boarding kwenye moja ya shule za Sekondari zinazomilikiwa na kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro.

 

Kama Mzazi namuombea kwa Mungu afanye vizuri kwenye Mitihani  hiyo ya Taifa anayotarajiwa kuhitimishwa leo ljumaa.                        

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...