Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, November 15, 2022

MAPYA MPANGAJI ALIYECHOMWA KISU NA BABA MWENYENYUMA.


 

 

 

LEO asubuhi Mtandao huu kupitia kipengele chake cha Udakuzi Spesho uriripoti habari ya Mpangaji kudaiw akuchomwa kisu na baba mwenye nyumba anayoishi.

 

Katika habari hiyo iliyoripotiwa na kwa mlengo wa kidakuzi baada ya watuhumiwa wote wawili kutopatikana wakidai kumkwepa Mdakuzi aliyetinga eneo la tukio.

                      BREKING NEWS

Baada ya habari hiyo kuruka hewani kwenye Mtandao huu Mwanamke aliyedaiwa kuchongwa kisu kaibua majira ya saa 11 jioni ya leo akimpigia simu Mwandishi wa Mtandao kupitia namba yake inayoanzia na 0674 na kuishia 380 namba nyingine nimeziasha kwa sababu za kimaadili alivyopiga simu hiyo dada huyo alisema.

 

” Shekidele nimeona habari yangu kwenye Mtandao wako ulipokuja nilikwenda kwenye Kikoba ma Jeraha langu  sio kama nimekukimbia kesho njoo nitakueleza kila kitu kuhusiana na tukio hilo”alisema dada huyo. Panapo majaliya ya Mwenyezi Mungu tukiamka salama jua litakapochomoza asubuhi nitakwenda kuzungumza na dada huyo hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote kumsikia anachosema sambamba na kuona Picha yake akiwa na Jeraha hilo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...