Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, November 7, 2022

KUMBUKIZI MSANII WA BONGO MUVI ATAMBISHIANA SUTI NA PAPARAZI KWENYE HARUSI YA LUNDENGA


Hii ni Mwaka 2016 Shekidele Kulia akiwa na Gwiji la Sinema za kibongo Papaa JB ‘Mwili nyumba.’

Wawili hao wenye fani tofauti walikutana kwenye harusi ya mtoto wa familia ya aliyekuwa Mratibu wa shindano la Miss Tanzania Anko Hashim Lundenga.

 

Kwenye sherehe hiyo iliyofana vilivyo Mwamba JB alikuwa MC na Shekidele alipewa jukumu la kupiga Picha matuki yote ya shughuri hiyo.

 

Kwa mtu anayejitambua ukipewa kazi kwenye sherehe yoyote lazima uvae nadhifu kuipa dhamani shughuri ya watu.

 

Pichani JB na Shekidele wakitaniana ubora wa suti zao ambapo Shekidele alimtania JB kwamba Suti yake ya Mtumba kafa ulaya mazishi bongo Movi.

 

Huku JB akimtania shekidele akimueleza kwamba suti yake inaviraka kwenye kora hivyo haina ubora kama suti yake aliyonunua Mlimani City kwa dora za Marekani,


 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...