Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, November 22, 2022

KUMBUKIZI HAYARI GULAMARI ALIVYOKAGUA TIMU YA RELI


 

KUMBUKIZI

 

Aliyekuwa tajiri Maarufu nchini aliyemiliki  kampuni ya Mabasi ya Sharuksi ambaye pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Kilombero Hayati Abbas Gulamali akikagua kikosi kazi cha timu kabambwe ya Reli  Morogoro’Kiboko ya Vigogo’

 

lkumbukwe Reli ilipachikwa jina hilo la Kiboko ya Vigogo baada ya kuzipiga kama ngoma timu zenu za Urithi Simba na Yanga popote walipokutana nazo iwe kwao Uwanja wa Uhuru uliopo Kata ya Mgulani Wilaya ya Temeke  Mkoani Dar es Salaam au Uwanja wa Jamhuri Uliopo Kata ya Boma Morogoro.

 

Tajiri Gulamari Maarufu ‘Mwana wa Pakaya’akisalimiana na Daud Tumbu’Mwana wa Ujiji Kigoma wa Mwisho kulia ni Salum Pembe na wa kwanza kushoto ni Mohamed Mtono  anayemuongoza Hayati Gulamari ni Nahodha Aziz Hunter.

No comments:

Post a Comment

KIJIWE NONGWA. UKIONA KAFUTA BANGO UJUMBE UMEFIKA

  Na Mpekunyuzi wa Mitandao Dunstan Shekidele.   Kama kawaida mtumishi wako, kila wiki naweka Bando linalonitembeza kwenye Mitandao ya Kijam...