Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, October 4, 2022

WANAWAKE BANDARI ZANZIBAR WAVUTIA NA HIJABU ZAO.



 


 

                     Na Dunstan Shekidele.Morogoro.

 

UTAMADUNI Mzuri wa wanawake wengi wa Zanzibar kujistili vichwa vyao kwa Hijabu mahali popote imekuwa kivutio kwenye Michuano ya Bandari.

 

Katika Michuano hiyo iliyoanza Septemba 26  Viwanja vya Jamhuri na  Viwanja vya Chuo Kikuu cha Kiislamu Kilichopo Msamvu na kutamatika jana Octobar 3 wachezaji wa kike wa Bandari Zanzibar wamekuwa kuvutia kwenye Michuano hiyo kwa sare zao za Hijabu.

 

 Wachezaji wengi wa kike wa Bandari za Tanzania Bara walitinga kwenye michuano hiyo wakiwa Vichwa wazi huku wengi wao wakishindano kwa staili za kutengeneza Nywele.

 

Mtandao huu pia unampongeza beki kisiki wa kushoto wa timu ya  Simba Queens Fatuma  Mkazi wa Mwembesongo Manispaa ya Morogoro ambaye hupendelea kuvaa Hijapo wakati wote awapo maeneo ya wazi hata akiwa uwanja huwa anacheza mechi huku akiwana Hijabu Kichwani Kongole kwa Fatuma na Wachezaji wa Bandari Zenji.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...