Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Monday, October 17, 2022

TANZIA.MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA


 


Mchezaji nyota wa zamani wa timu ya Simba, Reli ya Morogoro na timu ya Taifa ya Tanzania’Taifa Stars’ Steven Mdachi’amefariki dunia jana jioni.

 

Kwa Sasa Mwandishi wa Mtandao huu yuko Msibani nyumbani kwa Marehemu Kichangani Kote za wafanyakazi wa Shirika la Reli Morogoro,akiendelea kukusanya matukio mbali mbali eneo hilo la Msiba hivyo kwa taarifa zaidi endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote.

 

‘Bwana ametoa na Bwana ametwa jina lake lihimidiwe Tutaonana baadae Kamanda”

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...