Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, September 1, 2022

TASWIRA MOROGORO SELOUS MARATHON.

 

























                     Na Dustan Shekidele,Morogoro.

 

Mashindano ya mbio mbefu na fupi yaliyofanyika mkoani Moorogoro Agost 20 yamefana vilivyo kwa mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa naye kushiriki mbio hilo.

 

Kama kawaida katika mbio hilo Mwandishi wa Mtandao huu amekusanya matukio kibao likiwemo tukio na mkimbiaji mmoja kusababisha ajari.

 

Hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote kushuhudia matukio haya

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...