Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, September 23, 2022

MAMA SANGA ASALIMISHA SILAHA HARAMU

 

Mama Sanga akikabidhi silaha hiyo kwa Afande Mayakati] Kulia ni Afande Mwanaidi alimaarufu Mc Mwana

 
                 Na Dunstan Shekidele,Moorogoro.

 

Mama mmoja kutoka mtaa wa misufini kata ya Mafiga Mkoani hapa aliyefahamika kwa jina la Mama Sanga amekabidhi silaha aina ya Shortgun kwa jeshi la Polisi kupitia kwa Afisa madhimu namba moja wa Polisi Morogoro, ACP HASSAN MAYA OMARY,

Akiongea na wananchi wa mtaa huo leo Septemba 23 ACP MAYA, amehakikishia usalama wao wale wote watakosalimisha silaha hizo kwani kipindi cha kuanzia tarehe moja mwezi wa tisa hadi 31 mwezi wa 10 ni kipindi cha kampeni ya usalimishaji silaha haramu.

 

Kwa upande wake Mama Sanga alisema Silaha hiyo ilikuwa ya Marehemu Mung wake hivyo baada ya kufariki ameamua kuikabidhi kwa Jeshi la Polisi

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...