Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, August 9, 2022

MAHUSIANO YA POLISI NA WAANDISHI WA HABARI YAMENOGA SASA NI MWENDO WA VICHEKO .




 


 

 

             Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

 

 

MAHUSIANO baina ya Jeshi la Polisi  Mkoa wa Morogoro na Waandishi wa habari unazidi kushika kasi kwa mahusiano na Mawasiliano kufikia Mazimio ya Kimkakati.

 

 

Progran hiyo iliyokuwa na  Viashiria vya Vicheko iliyofanyika wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa JKT Bwalo la Umwema Morogoro, iliwakutanisha Waandishi wa habari  chini ya Uratibu wa Morogoro Press Club inayoongozwa na Mwenyekiti  wake Nickson Mkilanya, huku kwa upande wa  Jeshi la Polisi ikisimamiwa na Uwakilishi wa RPC, SP Morgan Marundo.

 

 

Aidha Pongezi ziwafikie Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus  Muslim  kwa  kuendelea kufanikisha kikao kazi  hicho kilicholeta mafanikio Makubwa.

 

 Miongoni Mwa Mazimio yaliyofikiwa ni upatikanaji wa Taarifa  kwa wakati kwa kufuata Mfumo na njia sahihi, huku  Vitengo vya ldara ya uchunguzi na Milipuko, Usalama barabarani, Dawati la Jinsia na Afya Vikitia fora  katika Kikao hicho.

 

 

Mtandao huu utarusha hewani taarifa za Sayansi za Uchunguzi na Milipuko iliyowasirishwa vyema Mtaalamu wa kitengo hicho C.P.L Alphons Kimaro.  

 Bado siku 24 tu tujitokeze kuhesabiwa Agost 23”

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...