Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, July 6, 2022

WACHEZAJI NYOTA WA YANGA WAFANYA JAMBO JEMA NYUMBANI KWAO MOROGORO. MAYELE ATAJWA KUSHIRIKI


  Wachezaji nyota wa Mabingwa wa soka Tanzania Dar Yanga Afrika Kibwana Shomari [kulia [ichani na Dickson Job ambao ni wana Morogoro wameanda mchezo wa hisani wenye lengo la kuchangia watu wenye uhitaji mbali mbalia.

Mwana Morogoro unapaswa kuwaunga mkono wachezaji hao kwa kufika uwanja Saba saba kesho kutwaa kushuhudia mtanange huo kwa kulipa kiingili getini ambapo pesa hizo zitakwenda kwa ndugu zetu hao we nye uhitaji.

Habari za awari zina dai huenda Mayele akawepo kwenye gemu hiyo akichezea moja ya Timu Job au Timu Kibwana.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...