Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, July 9, 2022

UJUMBE WA NENO LA MUNGU



 

YOHANA 5-24.

”Amini amini nawaambia,alisikiaye neno langu na kumwamini yeye aliyelipeleka yuna uzima wa milele, wala haingii hukumuni,bali amepita kutoka mautini kuingia uzimani"

 

Hilo ndilo neno letu la leo jumapili ya Julai 10.

Neno hili limejitoshereza sina sababu ya kulichangua ninachokusihi kama neno lilivyo sema nakuomba uniamini mimi niliyelipeleka kwako kwa njia hii ya Mtandao.

 

Tamanio langu kubwa ni kuona watu wote wanaingia kwenye pepo ya mwenyezi Mungu.

 

Tamani hilo ndilo lililonikusuma kila jumapili kuweka kando habari zote na kutoa nafasi ya kufundishana na kukumbushana maneno ya Mungu.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...