Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, July 26, 2022

KUMBUKIZI MSANII WASTARA WA SAJUKI

Wastarav wa Sajuki akiomba kura kwenye kampenzi za uchaguzi mkuu wa Mwaka 2015

 Mwandishi wa Mtandao huu kulia akizungumza na Wastara wa Sajuki


Hii ni miaka 7 iliyopita kwenye uchaguzi Mkuu wa Tanzania mwaka 2015 WASTARA wa Sajuki alijitosa kugombea Ubunge viti Maalumu kupitia leseni ya Chama Cha Mpinduzi'CCM' Mkoa wa Morogoro.

 

 

Pichani Wastara  akiomba kura kwa wajumbe kwa unyenyekevu mkubwa. Hata hivyo licha ya Unyenyekevu huo Wastara hakufanikiw akutinga mjengoni Dodoma baada ya kura zake za ndio kuwa chache hazikutosha kumpela Mjengoni.

 

 


 

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...