Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, July 24, 2022

HII SI MIPASHO NI MANENO YA MWENYEZI MUNGU KUPITIA KITABU KITAKATIFU CHA BIBLIA.


 

Mwandishi wa Mtandao huu akizungumza na Mtumishi wa Mungu Mambo ya kiimani na Askofu wa KKKT Jimbo la Morogoro Jacob Ole Mameo, mara baada ya kukamilika kwa lbada KKKT Usharika wa Mji Mpya.

 

 

                    MATHATO 7-1-5

 

KUWAHUKUMU WENGINE.

 

“Msihukumu Msije mkahukumiwa ninyi.

Kwa kuwa hukumu ile  muhukumuyo.

ndio mtakayo hukumiwa na kipimo kile mpimacho ndicho mtakachopimiwa.

 

 

Basi mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako,na boriti  iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe hujaiangalia.?

Au utamwambiyaje  nduguyo  niache  nikutoe kibanzi  katika jicho lako   na kumbe mna boriti ndani ya jicho lako mwenyewe.?

 

 

Mnafiki wewe,itoe kwanza ile boriti katika  jicho lako mwenyewe  ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.” Hilo ndilo neno letu la Jumapili ya Julai 24.

 

 

Sina cha kuongeza kwenye neno hilo limejitosheleza ninachoweza kusema ni kwamba Mwenye Masikio na asikie asiye na Masikio………]

                   


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...