Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, July 30, 2022

KUMBUKIZ YA BABA WA TAIFA MWL NYERERE.

Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akiwa na usafiri wa baiskeli
Mwandishi wa Mtandao huu akiwa mtaani na usafiri wake wa baiskeli
 

KUMBUKIZI.
Rais wa awamu ya kwanza Tanzania, Hayati Julius Kambarahe Nyerere ama kwa hakika alikuwa si mtu wa kujikweza’Kujimwambava’ kujilimbikizia Mali licha ya kuwa na madaraja makubwa ya Urais.
 
Pichani Mwalimu Nyerere akiendesha baiskeri ikiwa ni njia moja wapo ya yeye kufanya mazoezi ya Viungo.
Pichani Kulia Mwandishi wa Mtandao huu amerithi jambo hilo kwa hayati Mwalimu Nyerere kwa kutembelea usafiri wa baiskeri.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...