Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, June 1, 2022

PEKU PEKU YA MTANDAO WA SHEKIDELE.















 


 

Kama kawaida ya Mtandao huu kila siku unabuni habari tofauti tofauti ambazo za kuwavutia wadau wa Mtandao Pendwa wa Shekidele.

 

 

Wiki iliyopita Mtandao huu ulikatiza kwenye Mitandao mbali mbali ya Kijamii na kuokota mabango yenye Jumbe mbali mbali.

 

Katika Jumbe hizi Shekidele hana hatia na hafungamani na Upande wowote  But Moja ya ujumbe hizi zikigusa tabia yako kama ni Muungwana basi badilika.

No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...