Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Friday, June 3, 2022

KUMBUKIZI UWEZO WA KIUNGO WA SIMBA QUEENS WAMVUTIA MBUNGE ABOOD.




 

Na Dunstan Shekidele.Morogoro.
 
Aliyekuwa Mashambuliaji hatari wa timu ya Simba Queens, Hadhara Charles,a.k.a Messi wa Tanzania kionyesha umahiri wake wa kumiliki na Kuuchezea Mpira kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro.
 
Umahiri huo ulioonyeshwa na Mwana dadad huyo ilimgusa Mbunge wa jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood ambaye pia ni Mwanachama na Shabiki li alia wa Simba.aliyeamua kumtunza fedha Mdada huyo.
 
Hata hivyo baadhi ya mashabiki wa Yanga walioshuhudia tukio hilo. walisikika wakimkejeri mbunge huyo wakisema.
 
" Hayo demu mpandisheni dajara aingie kwenye kikosi cha Simba ya wanaume azibe pengo la Samata aliyetimkia TP Mazembe”




No comments:

Post a Comment

MAKALA PLANET NDONDO CUP. SIRI DAMU CHAFU KUTWAA UBINGWA MARA MBILI MFURULIZO HII HAPA.

  Baadhi ya mashabiki waliofulika kwenye mashishindano hayo.                           .....Kikosi cha Damu chafu Mkuu wa Wilaya Mhe Kilakal...