Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, May 11, 2022

TANZIA. MPISHI MWINGINE WA PILAU MORO AFARIKI DUNIA




Mpishi Maarufu wa Pilau kwenye Mkoa wa Morogoro Ustadh Berege amefariki dunia. 
 
Kwa wakazi wa Morogoro wanamkumbuka vyema Marehemu Berege enzi za uhai wake alikuwa msaidizi namba moja wa mpishi maarufu wa Pilau Mkoa wa Morogoro kwenye shughuri mbali mbali ikiwemo Misiba, Marehemu Marongoza ambaye naye alifariki dunia takribani miaka 2 iliyopita.
"Mara Kadhaa tulikutana kwenye shuinguri wewe ukiwa mpishi mimi nikiwa Mpiga Picha tangulia Mwamba tutaonana baadaye"

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...