Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Sunday, May 15, 2022

SALA YA KUPONYWA KUTOKA KWA ADUI.



 


INAPATIKANA KWENYE BIBLIA ZABURI 35-1-8

 

 

”Ee BWANA utete  nao  wanaoteta nani,upigane nao  wanaopigana nami. Uishike  ngao na kigao  usimame unisaidie.

 

Uutoe na mkuki uwapige wanaonifuatia, uiambie  nafsi yangu,mimi ni wokovu wako.

 

Waaibishwe wafedheheshwe wanaoitafuta nafsi yangu,waludishwe nyuma wafadhaishwe wanaonizulia mabaya.

Wawe kama makapi  mbele ya upepo, Malaika wa Bwana  akiwaangusha chini.

     

Njia yao naiwe giza na utelezi,Malaika wa Bwana akiwafuata.Maana bila sababu wamenifichia wavu.bila sababu  wamenichimbia shimo nafsi yangu.

 

Uharibifu na umpate  kwa ghafula na wavu aliouficha umnase yeye mwenyewe, kwa uharibifu aanguke  ndani yake.”

Huu ndio ujumbe wetu wa leo Jumapilia ya Mei 15.

Pichani Mwandishi wa Ujumbe huu[Mwenye Flana nyeupe] akiungama dhambi zake sambamba na kuomba Mungu shida zake  KKKT Usharika wa Kihonda.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...