Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, April 20, 2022

KUMBUKIZI.




 


Dogo mwenye umri wa miaka 15 [kwa sasa ana miaka 20] Junior ,Msara kutoka Dar alikuwa kivutia kwenye mashindano ya Pikipiki yaliyofanyika uwanja wa Saba Saba Mkoani hapa sikuu ya ldd Mosi ya Mwaka 2017.
 
Miaka hiyo ya nyumba Mratibu wa shoo ya kuruka Moto wa Pterol kwa kutumia Pikipiki Athuman Mahita kila sikuu ya ldd aliandaa shoo hiyo akishirikisha madereva wakali kutoka Dar.Morogoro na Mmoja kutoka DR Congo. 
 
Toka Mwaka 2020 shoo hiyo haikufanyika na kwamba aliyekuwa Mratibu Mkuu wa Shoo hiyo Athuman Mahita kwa miaka ya hiivi karibuni hajaonekana Mkoani hapa hivyo tunahisi amehama Mkoani Morogoro.
 
Wiki ijayo ni sikuu ya ldd wanamoro tulitamani michezo hiyo miwepo tupata sehemu ya Mtoko kwani sisi wengine sio watu wa Grosary ukituona huko tuko kikazi Mlala Nje si si vinginevyo.

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...