Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, April 27, 2022

KATIBU MKUU MRFA AZINGIA MICHUANO YA VIJNA CHINI YA MIAKA 20'


 

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Soka Mkoa wa Morogoro’MRFA’ Mchungaji Emmanuel Kimbawala leo Jioni amezindua Michuano ya Vijana wenye Umri chini ya Miaka 20[Under 20].
 
Uzinduzi wa Michuano hiyo unaoshirikisha timu kutoika Mikoa ya Morogoro na Pwani inafanyika katika Uwanja wa Saba saba Manispaa ya Morogoro. 
 
Katika Mchezo wa Ufunguzi Vijana wa Black Viba kutoka Kata ya Mbuyuni eneo la Vibandani wameichapa timu ya Moro Kids kwa bao 1-0. 
 
Habari zaidi na Picha za matukio mbali mbali ya ufunguzi wa Michuano hiyo zitaruka hewani hivi Punde hivyo endelea kuwa jirani na Mtandao huu muda wote. 
 
Picha kushoto Katibu huyo akikagua timu ya Black Viba
Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

No comments:

Post a Comment

SIMBA KUTINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO MLEMAVU AMTOA MACHOZI SHABIKI WA YANGA

  .        Na Dustan Shekidele,Morogoro.  UKISTAAJABU ya Mussa hutoyaona Filahuni.     Baada ya Simba kutinga Nusu fainali michuano ya K...