Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Saturday, March 19, 2022

KUMBUKIZI, HII NI MWAKA 2012.

Aliywkuwa Naibu Waziri wa Ardh Mh Goodluck Ole Madeye akiungama

 Waziri Mkuu Mstaafu Ewatd Lowassa akizungunza kwenye ;bada hiyo


Mungu kwanza Uwazi baadaye hivyo ndivyo anavyoonekana kusema aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi Mh Goodluck Ole Madeye.

 Akipiga magoti kumuomba Mungu kwenye lbada ya kumbukizi ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Mh Edward Moringe Sokoine aliyefariki kwa ajari ya Gari eneo la Dakawa  akitokea Bungeni Dodoma akireja jijini Dar es slaama. 1984.

lbada hiyo iliyofanyika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Dakawa Sokoine iliyopo Wilaya ya Movomero  nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro,ilihudhuriwa pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Mh Edward Lowassa.

 Picha na Maktaba ya Dunstan Shekidele aliyeshiriki lbada hiyo

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...