Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, March 17, 2022

DHAMA ZA KINA MAMA HIZI.

                                      Bi Tumsifu Kawango
Baadhi ya wajumbe wakigombea kumvisha mashada  Bi.Tumsifu.




Safu ya Uongozi wa UMPM Kutoka Kushoto walioketi ni Mwenyekiti wa Chama Hicho Hamis Ulanga. Makamu Mwenyekiti Petro Mabula.Katibu Mkuu Washnton Njovu.

 

Katibu Mkuu Msaidizi George Saulo na mwisho ni Mhasibu Mkuu  Bi. Tumsifu Kawago,

Waliosimama ni wajumbe wa kamati ya Utendaji kutoka kulia ni Geofrey Nbogo. Jackson Mkirikiti. Yona Zakayo. Wilbrord Patrick ’P.P’ na William Siga

 

 

                 Na Dunstan Shekidele, Morogoro.

Mwanamke pekee ndani ya Chama Cha Wapiga Picha Morogoro Tumsifu Kawango amechakuliwa kuwa Mhasibu Mkuu wa Chama hicho.

 

Katika Uchaguzi huo Mkuu wa Chama hicho kinachojulikana kwa jina la Uluguru Mountain Photographer Of Morogoro’U.M.P.M’.

Baada ya kutangazwa mshindi kundi la wajumbe  walilipuka kwa furaha huku wengine wakitoa mashada kwenye mabegi yao na kumvisha mwanamama huyo ambaye kitaaruma ni Mpira Picha.                            


No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...