Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, February 1, 2022

YALIYOJIRI KUMBI ZA STAREHE. WALUGURU OG WAKINUKISHA ILE ILE


Wanenguaji wa band ya Waluguru wakiendelea kuwapagawisha Mshabiki walioketi kwenye viti vyao wakipata Moto moto Moto barikidi huku wakiwashuhudia waneguaji hao  Mahiri
Sakho Style, Mchezaji wa Simba anayecheza soko la kulipwa mara nyingi akifunga bao huonyesha ishala ya kuchanga kitu na wadadisi wa mambo walitafsiri kwamba Sakho anachanganya Ubani kuielekea gemu ya watani wa jadi Simba na yanga.  

Mchezaji huyo toka ajiunga na Simba hivi karibuni hajawahi kucheza gemu ya watani wa jadi Simba na Yanga.


Mnenguaji huyo ametiafora kwenye show hiyo, ambapo muda wote alitabasamu tofauti na wenzie muda wote walikuwa bize kuwajibika jukwaani

Mzee wa Tumba Baloteli akiwajaza Mzuka wanenguaji wa band ya Waluguru Og


 .               Na Mlala Nje Dunstan Shekidele,Morogoro.

YALIYOJIRI kumbi za Starehe Mwishoni Mwa wiki  band ya Waluguru Original’Watoto wa Moro’ ljumaa iliyopita wameuwasha Moto ile ile kwenye ukumbi mmoja[Jina kapuni] uliopo katikati ya Mji wa Morogoro.

 

Kama kawa kitengo Pendwa cha Unenguaji cha bend hiyo kimeendelea kushika hatamu’Uongozi’ kwenye shoo hiyo ya kibabe iliyojaza umati mkubwa wamashabiki waliotinga ukumbi huo kura raha.

No comments:

Post a Comment

VITUKO VYA MWEZI JANUARI

  Mwezi uliopita tumeshehelekea Siku Kuu mbili X Mas na Mwaka Mpya.   Mwezi huu dume January tunashehelekea kulipa Ada za Shule na kod...