Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Thursday, October 14, 2021

WAHENGA WA SIMBA NA YANGA WAWAKIMBIZA VIJANA KWENYE BONANZNA MORO

                                        Sundar Manara
BADO WAMO.

WINGA hatari wa Tabata Veteran Sundar Manara'Kiberenge' akinyumbulika akijianda kumtoka beki wa Reli Veteran

                              .....Kiberenge hicho kinamuacha mtu 
BABA NA MWANA. Mchezaji wa Moro Veterani Ahmaed Mumba ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Cha Cha Makocha Mkoa wa Moroghoro'TAFCA akiwa na Mwanaye Mwarabu Mumba ambaye pia ni Mwamuzi Maarufu Tanzania
MHENGA. Athanas Michaele akipiga hesabu za kumtoka beki wa Reli Veterani
 Nahodha wa Tabata Veteran Malota Soma 'Balljagra' mwenye kitambaa begani akitoa basi katikatia ya msitu wawatu
                                        ....Malota Soma hoi


MSHAMBULIAJI wa Moro Veteran ambaye jioni alijiunga kwa Mkopo Reli Veterani Abdullahaman Lugege akikusanya kijiji cha timu ya SUA Veterani na kutoa basi ya Mwisho ya bao'Asit'

Hata hivyo bao hilo lilikataliwa na mshika kibandera kw amabao kwamba mfungaji aliotea 'Off Side'

\Baadae Mzee Lugege mwenye umri wa miaka 71 alikwenda kumlalamikia kistaalabu Mwashikakibendera huyo wa kike Line Two 7.

 

        Line Two a.k.a RAV akiwa makini kwenye kazi yake
       Mzee Lugege akitoka kusemezana na mshikakibendera

" HAPA  HUENDI POPOTE MJUKUU WANGU"

BEKI kisiki wa Reli Veterani wanaofanya mazoezi yao shule ya Msingi Mwere. akimchapa Mtama Mshambuliaji hatari wa Moro Veterani Seif Dunia ndani ya eneo la hatari.

Hata hivyo mwamuzi wa bonanza hilo Seleman Kinugani hakupiga filimbi'alipeta' huku Seif aliumia na kushindwa kuendelea na mchezo huo uliotamatika kwa Moro Veterani kuichapa Reli bao 1-0

 

 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...