Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Wednesday, October 13, 2021

MASTAA WA ZAMANI WA SIMBA, YANGA PAN NA RELI WANG'ARA KWENYE BONANZA MOROGORO

 Carlos Mwinyi Mkuu Mchezaji wa zamanai wa Pan Afrika.

Kwa sasa anaitumikia timu ya Tabata Veterani

Sundar Manara;Computer' Mchezaji wa zamanai wa Yabga ambaye pia alicheza mpira wa kulipwa Ulaya, Marekani Afrika na Uarabuni.lfahamike pia huyu ndiye baba mzazi wa Afisa habari wa Yanga Haji Manara anaichezea UMSOTA Veterani
Athanas Michael Mchezaji wa zamani wa Yanga'amrkuja nna Tabata Veterani ya Jijini Dar
Sundar Juma 'Kiberenge' mchezaji wa zamani wa Simba kwa sasa anaicheza timu ya UMSOTA Veterani ya jijini Dar
Adam Seleman'TATA' mchezaji wa zamani wa Muheza Shooting Stars Reli ya Morogoro na Simba ya Dar. 

kwa sasa anaitumikia timu ya Moro Veterani

Ally Jangalu'Mwananguuu' Mchezaji wa zamani wa Reli ya Moro, Coastal Union ya Tanga na Pan Afrika ya Dar, juzikati alikuwa kocha Msaidizi wa Kagera Sugar kwa sasa anaitumikia timu ya Reli Veterani ya Mkoani Moorogoro
Mecky Maxime Mchezaji wa zamani wa Mkamba Rangers ya Kilombero na Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani juzi kati alikuwa kocha Mkuu wa Kagera Sugar kwa sasa anaicheza timu ya Moro Veterani
Peter Mjata'Mgosi' mchezaji nyota wa zamani wa Reli ya Morogoro kwa sasa anaichezea timu ya Reli Veterani ya Mkoani Morogoro
                                        Athanasi Miichael
John Simkoko' Father'mchezaji wa zamani wa Tumbaku ya Moro na Reli ya Moro kwa sasa ni Kocha Mkuu wa timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni'KMC'  anamalizia kalia yake ya Mpira akiitumikia timu ya Reli Veteran ya Mkoani hapa
Hussein Ngunguru mchezaji wa zamani wa  Tumbaku Mseto zote za Moro na Pan Afrika ya Dar ni Makamo mwenyekiti wa chama cha wachezaji wa zamani wa Tanzaniani 'UMSOTA' kwa sasa anaitumikia timu ya Reli Veterani ya Morogoro
lssa Rambo mchezaji wa zamani wa Smoll  Simba ya Zanzibar kwa sasa ni mchezaji wa Moro Veterani
WAHENGA .wachezaji wa zamani wa Nyota Afrika ya Morogoro Abdahaman Lugegekulia] na Polisi Mstaafu Mzee Abdallah Kondo wakitaniana baada ya kulizwa swali la utani na Mwandishi wa Mtandao huu kwamba kati yao ni nani anamwamkia mwenzie kila mtu akajibu huyu ni mdogo wangu ananiamkia huku akipiga magoti.

. Wazee hao wenye afya nyema kwa kuzingatia Mazoezi wanaitumikia timu ya Moro Veterani na Picha zao za matukio ya uwanjani wakiwapiga chenga wadogo zao zitaruka hewani hivi Punde

Wachezaji wa zamani wa Reli ya Moro Faustin Lukookushoto] na Daud Tumbo  wakipozi mbele ya kamera za Mtandao huu.

 kwa sasa wachezaji hao wanaitumikia timu ya Moro Veterani

Nahodha wa timu ya Moro Veterani Tajiri Aziz Abood Kushoto akisalimiana na mchezaji wa Moro Veterani Bakari Fungo ambaye kwa sasa ni  Kamisaa wa Ligi Kuuu
Mchezaji wa zamani wa Reli ya Morogoro na Simba Malota Soma 'Ball Jagra' kwa sasa anaitumikia Tabata Vetarani ya Dar
Amri lbrahim Mchezaji nyota wa zamani wa Biashara Shinyanga, Pamba ya Mwanza na Simba ya Dar kwa sasa anaitumiukia timu ya Moro Veterani
Kipa Bure Mtangwa anayetoka familia ya Kipaji cha Mpira enzi hizo aliwahi kuzitumikia timu za Reli ya Moro ,sigara ya Dar na Kagera Sugar 

kwa sasa ni kipa namba moja ya Moro Vetrani

Seleman Kido mchezaji wa zamani wa Reli ya Moro hadi timu hiyo inakufa Kido alikuwa ni timu Meneja
                 Peter Mjata akisalimianna Ally Jangalu[kulia]

 Beki Kisiki Fikiri Magoso  beki wa zamani wa Reli ya Moro na Simba ya Dar kwa sasa anaitumikia Tabata UMSOTA Veterani

Picha zote na Dunstan Shekidele ambaye pia ni mchezaji tegemo wa Moro Veterani

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...