Shekidele Blogs

Shekidele Blogs
Karibuni sana wadau wa blog ya Shekidele kwa mawasiliano zaidi 0715 28 90 73

Tuesday, October 12, 2021

MORO VETERAN WATWAA UBINGWA WA BONANZA LA UMSOTA KANDA YA MASHARIKI.

Kiongozi wa Moro Veterani Afande Chinga akilikodolea Macho Kombe la Ubingwa kabla ya timu yake ya Moro kukabidhiwa kombe na Mgeni rasm

Nahodha wa Tabata Veterani akikabiidhiwa zawadi na Mpira na Mgeni rasmi. Katika bonanza hilo Mh Abood ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini alijitolea zawadi ya Mipira 5 kwa kila timu iliyoshiriki bonanza hilo
       Nahodha wa SUA akikabidhiwa zawadi ya Mpira
....Nahodha wa Reli Family Veterani  Afande Tumain naye akikabidhiwa zawadi ya Mpira
Mh Abood akiwa na mchexaji mwenzie ambaye ni Profesa wa Chuo Kikuu Cha Kilimo Cha Sokoine 'SUA wakipozi mbele ya kamera za Mtandao huu wakifurahia Ubingwa

                   ...Mh Abood akielekea kupokea Kombe
Nahodha wa Moro Veteran Mh Aziz Abood akikabidhiwa kombe la Ubingwa na Mgeni rasm Mussa Mnyeti
             Wachezaji wa Moro Veterani wakifurahia Ubingwa


 


                        Na Dunstan Shekidele,Morogoro.

TIMU Kabambe ya Morogoro Veterani Maarufu Moro Veterani Jumapili iliyopita imefanikiwa kutwa ubingwa wa bonanza la uzinduzi wa ofisi ya Umoja wa Wachezaji nyota wa Zamani Tanzania'UMSOTA' Kanda ya Mashariki.

Katika bonanza hilo lililoshirikisha timu 5 kila timu ilicheza mechi mbili asubuhi moja na jioni moja. na kwamba Moro Veterani ilishinda mechi zote mbili na kufanikiwa kukusanya Pointi 6.

SUA Veterani alinyakua nafasi ya Pili baada ya kukusanya Point 4 sawa na Reli Family Veterani Iliyoshika nafasi ya tatu ikizidiwa mabao ya kufunga na SUA


 

No comments:

Post a Comment

MUUZA MAGAZETI ADAIWA KUJINYONGA MUDA MFUPI BAADA YA KUTOKA KWENYE KIKAO CHA MAZISHI YA DADA’KE.

                            Pili Sebuge Mama mzazi wa marehemu . ....Mwenyekiti wa serikali ya Mtaa wa Ngoma B Rehema Matonya ...Miili ya m...